MKUU WA WILAYA TARIME AANZISHA MICHEZO ILI KUTETEA UHURU WA MTOTO WA KIKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA WILAYA TARIME AANZISHA MICHEZO ILI KUTETEA UHURU WA MTOTO WA KIKE

Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea na wachezaji jana timu ya Veterans Tarime pamoja na timu ya Halmshauri ya mji wa Tarime katika uzinduzi rasmi wa bonanza hilo. Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiwa na wadau wa michezo wakitazama mpira katika viwanja vya chuo cha ualimu TTC Mjini Tarime Mkoani Mara jana.
Na Frankius Cleophace Tarime
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga ameanzisha bonanza la Michezo mbalimbali huku kauli mbiu ikiwa ni kutetea na kulinda haki za  mtoto wa kike  ambapo timu 12 za mpira wa miguu kwa wanaume zinashiriki pia na timu Nne za Wanawake zinashiriki mpira wa miguu  katika viwanja vya Chuo cha Ualimu TTC Mjini Tarime.
Luoga amesema kuwa katika wilaya ya Tarime mwanamke amekuwa hakinyimwa uhuru pamoja na mtoto wa kike hivyo kupitia michezo hiyo mashirika na wadau mbalimbali wa kupinga ukatili wa kijinsia watatumia michezo hiyo ili kutaoa elimu juu ya madhara ya ukatili ili kulinda na kutetea mtoto wa kike wilayani Tarime Mkoani Mara.
“... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More