MKUU WA WILAYA YA CHUNYA AAHIDI KUPAMBANA NA WAFUGAJI WANAOHALIBU VYANZO VYA MAJI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA WILAYA YA CHUNYA AAHIDI KUPAMBANA NA WAFUGAJI WANAOHALIBU VYANZO VYA MAJI


Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya  Meryprisca Mahundi (katikati) akimkisikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Kata ya Sangambi kijiji cha Igundu  Joseph Nangale ,kuhusiana na namna ambavyo wafugaji wamefanya uhalibifu wa vyanzo vya maji katika kjiji hicho.Picha David Nyembe

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya  Meryprisca Mahundi akiwa katika harakati za kujionea maeneo ya vyanzo vya maji  ambayo yamehalibiwa vibaya na baadhi ya wafugaji wa kijiji cha Igundu kutokana na kunywesha mifugo katika maeneo hayo .

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mh Meryprisca Mahundi (Katikati)akiteta jambo na viongozi wa vijiji vinavyo zunguka kata ya Sangambi ambako kumefanyika uhalibifu wa vyanzo vya maji kutokana na baadhi ya wafugaji wa vijiji hivyo kunywesha mifugo yao sanjali na kupitisha mifugo katika maeneo ya vyazno hivyo.

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mh Meryprisca Mahundi akizungumza na wananchi wa Kata ya Sangambi (hawapo pichani) mara baada ya kukamilisha ziara ya kutembelea maeneo ya vya... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More