MKUU WA WILAYA YA KINONDONI ATEMBELEA MTO MBEZI NA MBWENI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI ATEMBELEA MTO MBEZI NA MBWENI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akizungumza na baadhi ya Vijana wanaochimba mchanga ndani ya mto Mbezi kwa madai ya kuondoa mchanga ndani ya mto huo ili kuongeza kina chake kitakachosaidia kupunguza adha ya mafuriko yanapotokea wakati wa mvua kubwa zinaponyesha.Mh Chongolo ametembelea maeneo hayo kuona namna shughuli za uondoaji mchanga katika eneo unavyoendelea ikiwemo na kuwasikiliza Wananchi waishio kando kando ya mto huo kuhusiana na shughuli hiyo. Shughuli za uondoaji Mchanga ndani ya Mto Mbezi ukiendelea.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh.Daniel Chongolo (pichani kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kampuni Benson Construction Ltd,Adam Kapama mapema leo,kuhusu shughuli nzima ya kuondoa mchanga ndani ya mto Mbezi ili kuongeza kina kitakachosaidia kupunguza adha ya mafuriko yanapotokea wakati wa mvua kubwa zinaponyesha.Mh Chongolo ametembelea maeneo hayo pamoja na Mbweni kuona athari wanayoipata Wananchi wakati mvua zinaponyesha na kusababisha adha kubwa ya mafuriko, ikiwemo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More