Mlela bwana, eti hajaona wa kumuoa! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mlela bwana, eti hajaona wa kumuoa!

KUMBE Yusuf Mlela naye ana vijembe? Nyota huyo wa filamu nchini, amefichua eti hajaoa mpaka sasa kwa vile hajaona mke wa kufunga naye pingu za maisha, huku akidai kwa kuwa anajua ndoa ni ibada, hawezi kukurukupa kulifanya jambo hilo bila umakini kwani asingependa aoe kisha aje kuitengana na mwenza wake.


Source: MwanaspotiRead More