Mlipuko wa DR Congo: Mtoto nchini Uganda apatikana na virusi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mlipuko wa DR Congo: Mtoto nchini Uganda apatikana na virusi

Mtoto wa miaka mitano agunduliwa na virusi na kuwa kisa cha kwanza kuthibitishwa hivi sasa na Uganda cha Ebola baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuwaua mamia ya watu DR Congo.


Source: BBC SwahiliRead More