Mloganzila Kufungua Benki za Maziwa ya Mama kwa Ajili ya Watoto Wachanga - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mloganzila Kufungua Benki za Maziwa ya Mama kwa Ajili ya Watoto Wachanga

Mtaalam wa lishe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Bi. Theresia Thomas akiwafundisha wazazi umuhimu wa unyonyeshaji na uandaaji wa chakula cha watoto kuanzia miezi sita mpaka miaka miwili katika maadhimisho ya siku ya unyonyeshaji duniani ambayo huadhimishwa tarehe 1 hadi 7 Agosti, kila mwaka. Mtaalam wa lishe Bi. Prisca Emmanuel (kulia) akimpima hali ya lishe mtoto Brightness Temba, aliyembeba mtoto ni Bw. Emily Temba. Mtaalam wa lishe Bi. Arafa Mkumbo akimpima uzito na urefu mtoto Aria Madari ili kujua hali yake ya lishe ikiwa ni maadhimisho ya siku ya unyonyeshaji duniani ambapo Hospitali ya Mloganzila imetoa bure huduma ya upimaji wa hali ya lishe kwa watoto chini ya miaka mitano, ushauri wa lishe, miongozo ya uandaaji wa chakula cha watoto pamoja na elimu ya umuhimu wa unyonyeshaji kwa watu wote. Baadhi ya wazazi ambao wamejitokeza leo kwa ajili ya kupata huduma ya upimaji wa hali ya lishe kwa watoto chini ya miaka mitano, ushauri wa lishe, miongozo ya uandaaji wa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More