Mmemsikia Pogba? Kasema haondoki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mmemsikia Pogba? Kasema haondoki

PAUL Pogba amewaambia Manchester United hana mpango wa kuihama timu hiyo baada ya kudai kwa sasa yupo kwenye furaha tele ya kuitumikia timu baada ya kuonyesha kiwango bora katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.


Source: MwanaspotiRead More