Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya kuhujumu uchumi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Washtakiwa wengine ni pamoja na Kulwa Kisena, Charles Nawe na Chen Shi, Raia wa China. Leo tarehe 11 Februari 2019 Wakili wa Serikali, ...


Source: MwanahalisiRead More