Mnguto aanza kwa Coastal Union wengine mjipange - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mnguto aanza kwa Coastal Union wengine mjipange

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi na Coastal Union, Steven Mnguto amesema anatarajia kuanza na timu yake kuhakikisha inabadili mfumo wa Sports Club haraka na kufuata maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).


Source: MwanaspotiRead More