Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao

MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya CCM Singida baada ya kupatikana Mo, Mzee Juma Mwandoghwe amesema, wazee wanataka kumchinjia mbuzi na kufanya dua kutokana na kutendewa unyama wa kutekwa na watu wasiojulikana. Mo ni mzaliwa wa Singida ambaye ...


Source: MwanahalisiRead More