‘MO’ awalahisishia kazi wachezaji Simba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

‘MO’ awalahisishia kazi wachezaji Simba

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba na mwekezaji mkuu wa timu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ ametangaza kiingilio cha shilingi 2000, kwenye mchezo wa klabu bingwa katika hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri, utakao chezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea) Mchezo huo ...


Source: MwanahalisiRead More