MO Dewji adaiwa kutekwa alfajiri ya leo - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MO Dewji adaiwa kutekwa alfajiri ya leo

MFANYABIASHARA Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka ...


Source: MwanahalisiRead More