Mo Jay Amwaga Manyanga kwa Gigy. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mo Jay Amwaga Manyanga kwa Gigy.

Mtangazaji kutoka Clouds media MO JAY  amefunguka alipokuwa akiulizwa na watu wake wa karibu kuhusu mahusiano yake na mama wa mtoto wke ambae kila mara wamekuwa wakigombana sana na hata kukomeshana na kubadilisha wanaume na wanawake kila wanapogombana.


Imekuwa kama desturi kwao kuwa wanapogombana kila mmoja amekuwa akitafuta mwenza miwngine kwa ajuli ya kujituliza kitu ambacho kwa mujibuwa Mo j anasema kuwa sasa yeye amechoka.


maneno ya mo Jay yanakuja baada ya mwanadada Gigy money kuonekana akiwa nawanaume wawili wanaosemekana kuwa ni mapacha lakini wameamua kuijiingiza katika mapenzi na mwanadada huyo kwa pamoja huku mmoja wapo akiwa na muonekana unaofafa na ule wa Mo Jay.


Wawili hao ambao kila mara wamekuwa wakigombana kutoka na swala la uaminifu katika mapenzi , wamekuwa na tabia ya kugombana hata kupigana lakini mwisho wa siku wanarudi katika hali yao ya kawaida lakini kwa sasa Mo Jay anasema kuwa hawezi kufanya hivyo tena.


The post Mo Jay Amwaga Manyanga kwa Gigy. appeared first... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More