Model Miriam Odemba Atoa Siri ya Kutokuzeeka Mapema - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Model Miriam Odemba Atoa Siri ya Kutokuzeeka Mapema

Ule msemo wa Black don’t crack hapa ndo unaingia kwa watu kama Miriam Odemba ,kwetu sisi tunajivunia kila siku kwamba ni Mtanzania na bado anafanya vyema kwenye ulimwengu wa urembo huko ughaibuni.


Wengi tunamjua Miriam toka enzi za matangazo ya sabuni kipindi hicho,sasa ni miaka mingi imepita lakini Miriam uzee kwake anausikia tu,na wengi tunajiuliza na kutamani kutozeeka kama yeye .


Well Miriam ametoa siri ya urembo/siri ya kutozeeka akisema ni kusamehe,kujifunza kujisamehe na kusamehe,sababu kila mtu ana  screw up katika maisha.


Ukitaka usizeeke haraka samehe hii ndio Dawa yangu ya kusipo zeeka mapema. Hii ndio siri ya mafanikio yangu …. Learning to forgive yourself!!! Forgiving yourself isn’t a slogging, long-term, “good day/bad day” type of thing, odemba says. “At some point,” she says, “you reach a turning point. Something shifts. You feel less burdened, you have more energy. You live longer, you have better health.”
“We all screw up sometime,” #miriamodemba... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More