Model wa Kitanzania Herieth Paul Ang’ara Kwenye Victoria’s Secret - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Model wa Kitanzania Herieth Paul Ang’ara Kwenye Victoria’s Secret

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Herieth Paul amezidi kung’aa katika maonyesho ya mavazi ya ndani maarufu kama Victoria’s Secret yaliorushwa siku ya jana.


Herieth ambaye amepata mafanikio makubwa kwenye ulimwengu wa fashion armpits steji moja na models maarufu duniani Kama Kendall Jenner, Adriana Lima, Gigi Hadid, Bella Hadid na wengineo.Kwa sasa mrembo huyo anapata nafasi hiyo kwa mara ya tatu toka mwaka 2016 ambapo alichaguliwa kwa mara ya kwanza.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Herieth Paul ameandika furaha yake kwa kuchaguliwa kushiriki katika maonyesho hayo:I watched my first vs show when I was 13 years old. I am so beyond excited to be walking my third @victoriassecret fashion showI am so grateful for this opportunity,” Mrembo huyo aliandika Instagram na kuwashukuru “Thank you @johndavidpfeiffer @monica.mitro @10magazine @ed_razek1 and my amazing team @womenmanagementny @angiesmodels Ya’ll dreams do come true ❤ #3”.
The post Model wa Kitanzania Heriet... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More