Mogella: Kagere amedhihirisha ubora wa Okwi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mogella: Kagere amedhihirisha ubora wa Okwi

Nyota wa zamani wa Simba, Zamoyoni Mogella amesema Meddie Kagere amedhidhirisha ubora wa Emmanuel Okwi baada ya kushindwa kufunga bao dhidi ya JS Saoura, huku akigusia kitendo cha timu hiyo kutokukaa kileleni tangu kuanza msimu huu kuwa nikipimo kwa mastaa wao.


Source: MwanaspotiRead More