Monaco ya Thierry Henry yachezea vichapo hadi aibu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Monaco ya Thierry Henry yachezea vichapo hadi aibu

Mambo yamemwendea vibaya kocha mpya wa Monaco, Thierry Henry, baada ya jana kushuhudia timu yake ikipoteza mchezo wa nne kati ya sita aliyoiongoza ilipofungwa mabao 4-0 na PSG katika mechi ya Ligi Kuu Ufaransa.


Source: MwanaspotiRead More