Monalisa Amefungukia Video Ya Kajala na Mwanaye - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Monalisa Amefungukia Video Ya Kajala na Mwanaye

Msanii mkongwe wa Filamu za Bongo movie Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa amefunguka na kupima uzito video ya Kajala na Mtoto Wake Paula.


Siku chache zilizopita and Kajala na binti yake wa miaka 16 Paula walitengeneza headlines Baada ya video yao iliyowaonyesha wakikata mauno kusambaa kwenye Mitandao ya kijamii.


Monalisa ambaye ana ukaribu na Kajala Lakini pia Watoto wao wamesoma wote amefungukia Sakata hilo na kusema kuwa haoni tatizo mama kucheza na Mtoto wake.


Kwenye mahojiano aliyofanya mtandao wa Millard Ayo, Monalisa amedai kuwa pamoja na kwamba hajaiona video hiyo Lakini pia hajaona tatizo Kama ni mama tu anacheza na Mtoto Wake.
The post Monalisa Amefungukia Video Ya Kajala na Mwanaye appeared first on Ghafla! Tanzania.

... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More