Mongella awakanya watumishi wa umma - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mongella awakanya watumishi wa umma

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka watumishi wa umma katika idara mbalimbali mkoani humo kuacha kufanya siasa katika sehemu zao za kazi na badala yake waelekeze nguvu zao kuwatumikia wananchi. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Mongella amesema kumekuwepo na baadhi ya watumishi wanaofanya siasa mahala pa kazi kwa kuwashawishi watumishi wenzao kuacha kufanya ...


Source: MwanahalisiRead More