Moroco ajipanga kuibadilisha Singida - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Moroco ajipanga kuibadilisha Singida

KOCHA mpya wa Singida United, Hemed Morocco, amesema kuwa ataitengeneza timu hiyo kuwa ya ushindani kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Singida United ipo mjini hapa ikishiriki michuano ya Sportpesa Super Cup na jana walikuwa wakicheza mchezo wake wa nusu fainali dhidi ya mabingwa wa Kenya, Gor Mahia.Akizungumza na www.sportskitaa.com mjini hapa, alisema kuwa Singida United ni timu yenye wachezaji wenye vipaji na uwezo mkubwa na kazi yake ni kuwafanya kucheza soka la ushindani zaidi.Kocha huyo alisema kwa muda mchache ambao amekaa na timu hiyo, amegundua mapungufu madogo ambayo ameanza kuyafanyia kazi na anaamini yakimalizika, Singida United itakuwa tishio."Timu si mbaya, kuna mambo madogo ambayo nimeanza kuyafanyia kazi katika kipindi hiki chote ambacho ligi yetu imeisha, naamini baada ya muda nitakuwa na timu ya ushindani," alisema Moroco.Alisema baada ya kumalizika kwa michuano ya Sportpesa hawatakuwa na jambo lingine zaidi ya kuanza maandalizi ya msimu ujao ambayo yataf... Continue reading ->


Source: Sports KitaaRead More