Morogoro waomba kutosahauliwa mradi wa Mkaa Endelevu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Morogoro waomba kutosahauliwa mradi wa Mkaa Endelevu

MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Kibena Kingu ameuomba Mradi wa kuleta mageuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS) usiwasahau katika awamu ya tatu ya mradi kufuatia mapato makubwa katika vijiji yanayozidi makusanyo ya mapato ya Halmashauri. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Kingu alisema hayo jana wakati akifungua mkutano wa waheshmiwa madiwani na ...


Source: MwanahalisiRead More