Morogoro watenga 25% za mapato kutunza misitu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Morogoro watenga 25% za mapato kutunza misitu

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wameazimia kutenga asilimia 25 wanayokusanya kutoka vijiji vya mradi wa mkaa endelevu kila mwaka na kuanzisha suala la usimamizi shirikishi wa misitu (USM) vijijini. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Madiwani hao walisema hayo wakati wakikamilisha kikao cha mrejesho wa shughuli za mradi wa kuleta mageuzi katika sekta ...


Source: MwanahalisiRead More