Mourinho aahidi kutoshangilia wala kuongea chochote endapo timu yake itashinda katika mchezo wa kesho Stamford Bridge - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho aahidi kutoshangilia wala kuongea chochote endapo timu yake itashinda katika mchezo wa kesho Stamford Bridge

Kocha wa klabu ya Mancheter United na taifa la Ureno Jose Mourinho amefunguka kuhusiana na mchezo wao wa kesho dhidi ya Chelsea ambao utachezewa katika uwanja ambao alikuwa akiutumia kama uwanja wake wa nyumbani kipindi cha miaka minne iliyopita.Mourinho ameongea hayo wakati akizungumza na Skysport kuhusiana na mchezo wao huo ambao atakutana na Chelsea ikiwa na kochqa mpya ambaye ni Muitaliano Sarri,ikiwa mara ya mwisho akikutana na Muitaliano mwingine ambaye alifukuzwa kwenye klabu hiyo Anthonio Conte.Mourinho amesema “Ntajikontro mwenye” hayo ameongea baada ya kukumbwa na matukio kadhaa ndani ya wiki iliyopita baada ya kutakiwa kujieleza kuhusiana na kuonekana kutoa maneno machafu baada ya ushindi wake dhidi ya Newcastle.


Mreno huyo aliongeza :- “Kwa mimi ni mchezo kama ilivyo michezo mingine,” alisema Mourinho. “Je, ningependa kushangilia kama ninavyofanya ikiwa timu yangu imepata goli au ushindi katika uwanja wa Stamford Bridge? Sidhani kama itakuwa hivyo.”“Nadh... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More