Mourinho aeleza sababu za kuwakejeli mashabiki wa Juventus ” Walinitukana kwa muda wa dakika 90? mimi nimewafanya kitu kimoja kidogo sana” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho aeleza sababu za kuwakejeli mashabiki wa Juventus ” Walinitukana kwa muda wa dakika 90? mimi nimewafanya kitu kimoja kidogo sana”

Kocha wa Manchester United Mreno Jose Mourinho amefunguka juu ya kile kilichosemekana amewatukana mashabiki wa Juvents katika mchezo wao wa jana usiku jijini Torino.Katika mchezo huo Manchester United walifanikiwa kupata ushindi katika mchezo huo wa goli 2-1 ambayo yalifungwa na wachezaji tofauti,Juve ndio walikuwa wakwanza kufungua ukurasa wa magoli kwa goli la Cristiano Ronaldo mnamo dakika ya 65 na baada ya hapo ubao ulihamia upande wa Juve kwani mnamo dakika ya 86 ‘The supersub’ Juan Mata alipeleka zahima kwa mabibi kizee wa Torino kwa kuzamisha mpira wa freekick na kufanya matokeo yasomeke 1-1 mnamo dakika ya 88 Rashford alifanyia faulu na mmoja wa walinzi wa Juve pembezoni mwa uwanja na faulu hiyo ilikuwa kama kuwamwagia Juve maji ya moto kwani Ashely Young alifanikiwa kuipeleka faulu hiyo mahala pake na kupelekea beki wa Juve Sandro kujifunga goli hilo na ubao kubadilika na kusomeka 1-2.Hivyo hadi mwisho wa mchezo Manchester United wakafanikiwa kuondoka na ushindi Italia... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More