Mourinho afunguka bila pesa hakuna usajili wa maana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho afunguka bila pesa hakuna usajili wa maana

Man United walikuwa wanashika nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu England na pointi zao 22 walizovuna kwenye mechi 14, ambapo walishinda sita, sare nne na vichapo vinne. Man United kwenye mechi hizo ilishinda mabao 22 na kufungwa 23


Source: MwanaspotiRead More