Mourinho akiona kunguru wamepungua mtaani, nyama za kuku ni nyingi na zimeshuka bei awe mwelewa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho akiona kunguru wamepungua mtaani, nyama za kuku ni nyingi na zimeshuka bei awe mwelewa

Bila shaka hakuna tena haja ya kumuongelea Mourinho kwa namna nyingine zaidi ya kusema “Ele precisa descansar” (Kireno) Yaani anahitaji kupumzika kidogo. Arudi tena mpaka kule mjini Setubol au aende Marekani akapumzishe kichwa kisha aruddi tena.


Kwa sababu kwanza yupo sehemu sahihi kabisa. Pili yupo timu kubwa. Tatu ana kila kitu nyuma yake. Nne ana jeuri ya historia ya klabu anayofundisha, ubabe wa kifedha na wachezaji lukuki. Je kwanini anakwama?


Yule mpinzani wake mkubwa Pep.

yeye anatamba tu. Waswahili husema cha kipofu, kimo mkononi mwake, Pep anatumia njia zile zile za Mou za kutumia fedha nyingi kumuadhibu. Kweli nimeamini fitna, ngozi ya tembo.Mourinho imefika mahali analalamika timu nyingine zinamwaga fedha (Klopp)


Mourinho anayumba kama tanga linalopelekwa na kimbunga. Siku hizi ukifuatila mikutano yake na waandishi wa habari zinahuzusha sana kama wewe ni shabiki wa United. Kwanza yeye mwenyewe hana matumaini na klabu yake. Amekuwa mwepesi hasira w

za hovyo hovyo. Muda ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More