Mourinho anena kuhusu Zidane kurejea Madrid - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho anena kuhusu Zidane kurejea Madrid

Baada ya Madrid kushindwa kuwatambia Ajax ndani ya dimba lao la Bernabeu kocha wa zamani wa United, Madrid, Chelsea na Inter Jose Mourinho alihusishwa sana kurudi tena jijini Madrid.


Ghafla Madrid ikamtamgaza Zidane kama kocha wao mpya kuchukua nafasi ya Santiago Solari.


Mourinho alipohojia kuhusiana na sakata hilo alisema


“Zidane anafaa zaidi Madrid, nadhani sasa amepata mafasi ya kuwakosoa wale wanaodhani alibahatisha.


Binafsi yangu nina imani yeye ndiye kocha sahihi wa Madrid”


Alipoulizwa kama amekasirishwa na kitendo cha Madrid kumweka pembeni


“Kwanini? Kwani niliwahi kusema nataka au sitaki kazi Madrid?”


“Ninachoweza kusema Zidane ni kocha sahihi wa Madrid, na sikuwa na makubaliano yoyote na Real.


Source: Shaffih DaudaRead More