Mourinho anukia kutua Real Madrid, hatma ya Julen Lopetegui kujulikana mwisho wa mwezi huu  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho anukia kutua Real Madrid, hatma ya Julen Lopetegui kujulikana mwisho wa mwezi huu 

Moja ya sifa ya kuendelea kusalia kwenye nafasi ya ukocha ndani ya Real Madrid ni kutopoteza mechi ya mwisho kabla kuwaruhusu wachezaji kujiunga na timu zao za taifa hasa unapokuwa kwenye mwenendo mbaya wa ligi, kitu ambacho meneja Julen Lopetegui ameshindwa.


Lopetegui is already feeling the pressure but won't be sacked during the international break


Kocha wa Real Madrid, Julen Lopetegui


Lopetegui amevunja sheria hiyo wikiendi hii baada ya kukubali kikosi chake cha Madrid kupoteza mbele ya Alaves na hivyo kuyafanya maisha yake ndani ya timu hiyo kuwa rahani.Mourinho na rais wa Madrid, Florentino Perez


Mpaka sasa meneja huyo ameshapoteza michezo minne mfululizo pasipo kushinda hivyo wachambuzi wa maswala ya soka wanaamini anamuda mchache mno usiozidi hata mwezi mmoja kuendelea kuwa kwenye timu hiyo.


Gareth Bale cuts a dejected figure during Real's surprise 1-0 defeat at Alaves on Saturday


Gazeti maarufu la michezo nchini Hispania la ‘Diario AS‘ kwenye kurasa zake za mbele limeandika kuwa kocha huyo kama atachukua muda mrefu Real basi ni mpaka mechi ya ‘El Clasico’ mwishoni mwa mwezi wakati.


Majina ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi yake baada ya kut... Continue reading ->Source: Bongo5Read More