Mourinho aonywa fainali ya FA,akipigwa na Conte itakula kwake - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho aonywa fainali ya FA,akipigwa na Conte itakula kwake

Ni fainali. Keshokutwa. Ni Chelsea dhidi ya Manchester United pale Wembley kuwania ufalme wa FA msimu huu. Wote watakuwa wanasaka kuibuka na taji pekee la msimu huu baada ya kushindwa kutwaa chochote katika mataji mengine.


Source: MwanaspotiRead More