Mourinho asema hana mpango wa kuondoka United, akataa kuzungumza na waandishi wa Hispania adai wapo kwaajili ya Madrid  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho asema hana mpango wa kuondoka United, akataa kuzungumza na waandishi wa Hispania adai wapo kwaajili ya Madrid 

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa anahitaji kuendelea kuwa mahala hapo na kitu pekee anachofikiria kwa sasa ni kuhusu klabu hiyo.Mourinho ameyasema hayo hapo jana kwenye mkutano wake na waandishi wa habari kuelekea mchezo wake wa Champions League dhidi ya Juventus utakao pigwa hii leo siku ya Jumanne, baada ya kuulizwa kama angependa kurejea Real Madrid.


”Hapana, maisha yangu yapo hapa, nina mkataba na hadi mwisho wa mkataba wangu ninayo ifikiria ni Manchester United,” amesema Mourinho.


Mkataba wa Mreno huyo unatarajiwa kufikia tamati mnamo mwaka 2020 huku akiwa na chaguo la kuongeza mwaka mwingine. ”Ningependa kusalia hapa hata mkataba wangu utakapo fikia kikomo pia,” amesisitiza Mourinho.


Tayari duru za habari zinasema kuwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 55, ndiyo chaguo ama pendekezo la mabingwa wa klabu bingwa barani Ulaya klabu ya Real Madrid atakaye kwenda kurithi mikoba ya Julen Lopetegui aliyopo sasa.


”Katika mtazamo wangu, tuna mchezo hapo k... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More