MOURINHO ATAKA KUMPIGA KOCHA WA CHELSEA ALIYESHANGILIA MBELE YAKE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MOURINHO ATAKA KUMPIGA KOCHA WA CHELSEA ALIYESHANGILIA MBELE YAKE

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akidhibitiwa asiende kugombana na mmoja wa makocha wasaidizi wa Chelsea, Marco Ianni leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mourinho alikasirishwa na kitendo cha Ianni kwenda kushangilia mbele yake baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha dakika ya mwisho Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More