Mourinho athibitisha Luke Shaw yuko fiti na atacheza dhidi ya Watford Jumamosi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho athibitisha Luke Shaw yuko fiti na atacheza dhidi ya Watford Jumamosi

Kocha w Manchester United Jose Mourinho amethibitisha kuwa beki wa kushoto wa timu hiyo Luke Shaw anauwezekano mkuwa wa kucheza katika mchezo wao  siku ya Jumamosi dhidi ya Watford katika dimba la Vicourage road baada ya beki huyo kuumia wakati anatimiza wajibu wake kwenye timu ya taifa katika michezo ya kimataifa mwishoni mwa wiki.Kulikuwa na wasiwasi mkubwa sana kama endapo Shaw ataweza kurejea uwanjani mapema kufuatia kuumia kichwa katika mgongano na beki wa Uhispania Dani Carvajal katika uwanja wa Wembley ingawa England walipoteza katika michezo hiyo ya kimataifa kwa goli 2-1 nymbani lakini mlinzi huyo aliweza kutoa msaada wa goli kwa Rashford.Mourinho alibainisha kuwa daktari wa klabu amethibitisha upatikanaji wa Shaw kutokana na matibabu, lakini aliongeza kuwa hajaamua kama ataweza kumruhusu kucheza dhidi ya Watford Jumamosi.”Sijui kama atacheza” ,” Mourinho alisema. “Bado tuko naye kwenye mazoezi”. “Kinyume na habari zingine, kwa mtazamo wa protocol na kulingana... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More