Mourinho azua vurugu baada ya Chelsea kusawazisha dhidi ya Man United Stamford Bridge - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho azua vurugu baada ya Chelsea kusawazisha dhidi ya Man United Stamford Bridge

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho alizua vurugu katika eneo la touchline baada ya mshambuliaji wa Chelsea Ross Barkley kuizawazishia Chelsea katika dakika ya 96


Source: BBC SwahiliRead More