Mourinho kashtua kumpanga Pogba beki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mourinho kashtua kumpanga Pogba beki

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho aliwashtua mashabiki na wadau wa soka baada ya kufanya uamuzi magumu ya kumchezesha kiungo Paul Pogba nafasi ya beki ya kati huku wakiwa nyuma kwa mabao 2-0, dhidi ya Newcastle United. Lakini mabadiliko hayo yalizaa matunda na kikosi cha Mashetani Wekundu hao wakaibuka na ushindi wa mabao 3-2.


Source: MwanaspotiRead More