Mpepo awazia Ligi ya Mabingwa Afrika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mpepo awazia Ligi ya Mabingwa Afrika

STRAIKA wa Buildcon ya Zambia, Eliuter Mpepo ameitolea macho nafasi ya msimu ujao kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na chama lake ambalo Jumamosi liliibuka na ushindi mwembamba mbele ya Forest Rangers.


Source: MwanaspotiRead More