Mr Eazi avutwa Bongo na Ben Pol, Diamond na Harmonize kuvumbua vipaji vipya kwenye muziki (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mr Eazi avutwa Bongo na Ben Pol, Diamond na Harmonize kuvumbua vipaji vipya kwenye muziki (Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr Eazi ametua nchini Tanzania kwaajili ya kusupport vijana wenye vipaji vya muziki kupitia mradi wake wa Empowering Africa talented ambao unatarajia kusaidia zaidi ya vijana 100 katika nchini 6 Barani Africa. Mr Eazi alisema mradi huo utagharimu dola 300000 ambazo ni zaidi ya tsh milioni 600 za Tanzania.The post Mr Eazi avutwa Bongo na Ben Pol, Diamond na Harmonize kuvumbua vipaji vipya kwenye muziki (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More