MRADI WA BOMBA LA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI KUTOKA UGANDA KUNUFAISHA VIJIJI LITAKAPOPITA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MRADI WA BOMBA LA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI KUTOKA UGANDA KUNUFAISHA VIJIJI LITAKAPOPITA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizindua mpango wa natumizi bora ya ardhi kwa viijiji 226 vinavyopitiwa na Bomba la Mafuta katika kijiji cha Sojo kata ya Igusule wilaya ya Nzega mkoani Tabora, kulia kwa Lukuvi ni Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi , Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri wakicheza ngoma wakati wa uzindizi mpango wa natumizi bora ya ardhi kwa viijiji 226 vinavyopitiwa na Bomba la Mafuta katika kijiji cha Sojo kata ya Igusule wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Picha na Wizara ya ardhi. 
**************************************** 
Na Munir Shemweta, NZEGA 
Wananchi wanaoishi vijiji linakopita Bomba la kusafirisha Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanzania sasa watanufaika na mradi huo kufuatia Serikali kutangaza mradi wa kupanga matumizi bora ya ardhi katika vijiji 226 linapopita bomba hilo. 
Aidha, ilielezwa kuwa wakati wa utekelezaji mradi ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More