MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAFIKIA ASILIMIA 42 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAFIKIA ASILIMIA 42

 Muonekano wa maendeleo ya mradi wa upanuzi wa bandari, ujenzi wa magati na kuongeza kina cha kupakia na kupakua mizigo bandarini wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani)  kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Uchukzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akikagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa bandari, ujenzi wa magati na kuongeza kina cha sehemu ya kupakia na kupakua mizigo wakati wa ziara yake kwenye Bandari ya Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Karim Mataka Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Karim Mataka (wa kwanza kulia) kuhusu utengenezaji wa zege maalumu kwa ajili ya kujengea magati ya bandari wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa ban... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More