Mrembo Aibuka na Kudai Anatongozwa na Ali Kiba - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mrembo Aibuka na Kudai Anatongozwa na Ali Kiba

Video vixen maarufu kunako gemu la Bongo fleva Sasha Kassim ameingia Kwenye headlines baada ya kudaiwa kuleta mtafaruku Kwenye ndoa ya Ali Kiba na Mke wake Amina Khalef.


Global Publishers wanaripoti kuwa Sasha Meseji hizo zilizovuja zilionekana kutoka kwa Kiba kwenda kwa Sasha usiku mnene, jambo ambalo ni hatari kwa jamaa huyo ambaye inasemekana mkewe alijifungua juzikati.


Rafiki wa karibu wa Sasha amefunguka kuhusu meseji za Ali Kiba na Sasha ameiambiaHivi mnajua kuwa Sasha ana mawasiliano na Kiba na kuna wakati anawasiliana naye mpaka usiku mwingi? “Kama hamuamini, mimi nitawaletea ushahidi wa chatting zao kwani nimezinasa kutoka kwenye simu ya Sasha mwenyewe, hata hivyo Sasha hamtaki Kiba, mkimbana nyinyi kwa njia zenu, atawaeleza ukweli”.Baada ya Tetesi hizo gazeti la Risasi lilimsaka Sasha na kumhoji kuhusu Tetesi hizo za mawasiliano na Kiba ilhali anajua ameoa Sasha alifunguka:Sasa akijua kwanimimi najali? Sikia, mimi huyo Kiba simtaki yeye mwenyewe ndio ananisumbua. ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More