MS Word Imeshushwa Zaidi Ya Mara Bilioni Moja Katika PlayStore! - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MS Word Imeshushwa Zaidi Ya Mara Bilioni Moja Katika PlayStore!

Kama inavyojulikana kuwa MS word ni programu muhimu na inayojulikana kuliko zote katika maswala ya kuandika. pengine ni sawa kufikia kiwango hicho kwa kushuhswa. lakini bado changamoto inakujaga kwani App nyingi ambazo sio zile za mitandao ya kijamii huwa zinapata shida sana kufikia kupakuliwa hadi mara bilioni moja Ms Word bado inajulikana kwa kiasi kikubwa kwani imeweza [...]


The post MS Word Imeshushwa Zaidi Ya Mara Bilioni Moja Katika PlayStore! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More