Msaada: Jamii yatakiwa kuacha unyanyapaa kwa watu wanaojaribu kujitoa uhai - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msaada: Jamii yatakiwa kuacha unyanyapaa kwa watu wanaojaribu kujitoa uhai

Wanasikololojia wamefanya utafiti na kugundua kuwa baadhi ya watu huchukulia wazo la kujitoa uhai kama kitendo cha kulipiza kisasi kwa mtu,yeye binafsi au kwa mtu mwingine. Mtu aliye na mawazo ya kujitoa uhai mara nyingi hutingwa na mawazo ya kujiona mkosaji.


Source: BBC SwahiliRead More