Msaga Sumu azungumzia mafaniko yake pamoja na mpango wa kolabo Diamond (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msaga Sumu azungumzia mafaniko yake pamoja na mpango wa kolabo Diamond (Video)

Msanii wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu amefunguka kuzungumzia mafanikio yake kwenye muziki pamoja na mpango wa kufanya kolabo ya Diamond na Alikiba. Muimbaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii watakaolipamba Tamasha la Sport&Music Festival katikati ya mwezi huu, amesema atajaribu kuwatafuta Diamond na Alikiba kwaajili ya kolabo na wakimkatalia basi.


Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Msaga Sumu azungumzia mafaniko yake pamoja na mpango wa kolabo Diamond (Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More