MSANII ALI KIBA ASEMA YUPO TAYARI KUDHAMINI WASAFI FESTAL - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSANII ALI KIBA ASEMA YUPO TAYARI KUDHAMINI WASAFI FESTAL

@officialalikiba – Baada ya subra ya muda mrefu, hivi karibuni nitawatangazia bidhaa yetu pendwa ya Mofaya inapatikana wapi na kwa kiasi gani! Pamoja na shughuli rasmi ya kuizindua kitaani.
Pia ndugu zangu #Wasafi tumepata salamu zenu, nashukuru kwa mualiko wenu, ila kwa bahati mbaya sitoweza kushiriki kwa sasa kutokana na majukumu ya kuzindua Mofaya katika nchi zingine. Hata hivyo tusingependa kuwaacha hivi hivi, tupo tayari kuwapa support ya kudhamini tamasha lenu kupitia #MofayaEnergyDrink ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya sanaa yetu Tanzania na Africa . Management #RockstarAfrica yangu tutaendelea kuwasiliana nanyi tuweze kufanya hili jambo kubwa.#MofayaByAlikiba#KingKiba
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More