Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hard lee ameachia nyimbo nyingine baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri. nyimbo hii inaitwa “Nitulie”akiwa ameifanyia kwa Maximaiza ndani ya studio ya Fleva rekodi huku video ikiwa imefanywa na Hanscana.By Ally Juma.


The post Msanii Hard Lee ameachia video ya nyimbo yake mpya baada ya ngoma yake na Beka Fleva kufanya vizuri appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More