MSANII HAWA KUFANYIWA UPASUAJI INDIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSANII HAWA KUFANYIWA UPASUAJI INDIA


Na Khadija Seif, Blobu ya JamiiMwanamuziki wa kike nchini anaejulikana kwa jina la Hawa  aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa "Nitarejea" wa Mwanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond platinumz' amefanikiwa kupata vipimo vya awali nchini India.Hawa ambaye hivi karibuni alikua akiomba msaada kwa watu mbalimbali  ikiwemo kwa Diamond ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa ambao ulikua ukimsumbua muda mrefu huku wengi wakimtupia lawama kuwa amejiingiza Kwenye ulevi wa kupindukia.Akithibitisha hayo Meneja wa Daimond Platinum, Hamis Tale maarufu kama Babu Tale ameeleza kuwa wamefika salama nchini India na kufanikiwa kupata vipimo vya awali.Tale ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika  "Asante Mungu tumefika salama India na tumefanya vipimo vyote upya salama na jibu lililotoka kwa wataalamu kwa asilimia 95% awajaona tatizo linalohusiana na ini kwa mgonjwa ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini ivyo basi kutaitajika kufanyika upasuaji mkubwa ambao utakua na uangaliz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More