Msanii wa Hip Hop, Chance The Rapper auaga ukapera, afunga ndoa na mchumba wake wa utotoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msanii wa Hip Hop, Chance The Rapper auaga ukapera, afunga ndoa na mchumba wake wa utotoni

Msanii wa Hip Hop kutoka Marekani, Chance The Rapper wikiendi iliyopita amefunga ndoa mjini Newport, California na mchumba wake wa tangia utotoni, Kristen Corley .

Image result for chance the rapper weddingChance The Rapper na mkewe

Rapper Chance alimvisha pete ya uchumba, Corley mnamo July 4, 2018. Na harusi yake imehudhuriwa na Mastaa kibao wakiwemo Kanye West na Kim Kardashian.

Image result for chance the rapper wedding

Chance The Rapper alikutana na Corley kwa mara ya kwanza kwenye Party ya mama yake, muda huo Chance alikuwa na miaka 9 na urafiki wao ukaanzia hapo, na mpaka sasa ni miaka 16 imepita.

Siku hiyo, Corley alitumbuiza wimbo wa “Independent Women” wa kundi la Destiny’s Child.


The post Msanii wa Hip Hop, Chance The Rapper auaga ukapera, afunga ndoa na mchumba wake wa utotoni appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More