Msanii wa muziki kutoka Rwanda, Oda Paccy amtaja Diamond na Alikiba ‘kiki inakuza muziki’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Msanii wa muziki kutoka Rwanda, Oda Paccy amtaja Diamond na Alikiba ‘kiki inakuza muziki’ (+video)

Msanii maarufu wa muziki nchini Rwanda, Oda Paccy amesema kuwa muziki wa Tanzania unakua kwa kasi duniani na ni moja ya muziki unaosikilizwa zaidi nchini Rwanda.Akizungumza na Bongo5, Oda amesema kuwa wasanii wa muziki kama Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee na Chin Bees ni moja ya wasanii wanaosikilizwa sana nchini humo.


Kwa upande mwingine Oda amesema kuwa kiki ni jambo la kawaida kwenye muziki ambapo amekubali kuwa inaweza kukuza muziki kwani ni moja ya njia nzuri ya kupushi kazi za msanii husika kwa kufuatiliwa.


 

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More