MSHINDI WA GARI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA' AKABIDHIWA GARI ALILOSHINDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSHINDI WA GARI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA' AKABIDHIWA GARI ALILOSHINDA

Meneja wa Udhamini na Mawasiliano ya Wateja wa TBL,David Tarimo (kulia) akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya mshindi wa kwanza wa promosheni ya TBL Kumenoga Tukutane baa. Julitha Kilawe . Kushoto ni Meneja Matukio wa TBL, Angela Mritaba.
Mshindi wa kwanza wa gari kupitia promosheni ya TBL Kumenoga Tukutane Baa Julitha Kilawe,(katikati) akionyesha ufunguo wa gari alilojishindia baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Udhamini na Mawasiliano ya Wateja wa TBL,David Tarimo (kulia)mwingine pichani Kushoto ni Meneja Matukio wa TBL, Angela Mritaba.Meneja wa Udhamini na Mawasiliano ya Wateja wa TBL, David Tarimo ( mwenye shati jeupe) akimfungulia gari na kumuelekeza jinsi linavyotumika Mshindi wa kwanza wa gari kupitia promosheni ya TBL Kumenoga Tukutane Baa Julitha Kilawe.
Na Mwandishi Wetu.
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam na mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julitha Kilawe, ambaye wiki iliyopita aliibuka mshindi wa gari mpya aina ya Renault KWID kupitia droo ya kwanza ya promosheni ya TBL Kum... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More