Mshono ::Pata Mshono wa Da Shamim kutoka Katty Collection - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mshono ::Pata Mshono wa Da Shamim kutoka Katty Collection

Looking for a simple mshono??Well huu wa Da Zeze unakufaa


uko simple na very modern ,batiki kama tumeisahau hivi tumekomaa na vitenge,Ikishonwa vizuri na kamshono katamu inanogaa.


the dress inakuja na detachable belt waweza vaa hili belt separately na gauni ni wewe tu 


mixed prints ikiwa imekaa sehem yake


Imalaika hii photo drop corner ni fire... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More