MSHTUKO!Mo Dewji atekwa kimafia Dar - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MSHTUKO!Mo Dewji atekwa kimafia Dar

MSHTUKO mkubwa umeipata Tanzania, hususani mashabiki wa soka. Hii ni baada ya Bilionea wa klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji kutekwa kininja na watu wasiojulikana wakati akiwa hotelini anakoenda kufanyia maozezi ya viungo kila siku.


Source: MwanaspotiRead More